Mwenyezi Mungu: Wito wa Upendo

Umati unanishangilia, umati unanisifu; watu wote wanalitaja jina la Mungu mmoja wa kweli, watu wote wanayainua macho yao kuviangalia vitendo Vyangu. Ufalme unashuka duniani mwa wanadamu, nafsi Yangu ni ya fahari na yenye neema.

Read More  
Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini

Read More  

Katika mwanzo wa Februari 1991, mtu fulani katika kanisa alionekana kupokea nuru ya Roho Mtakatifu, na akaanza kunena, akiwashuhudia jina la Mungu na ujio wa Mungu.

Read More  
Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu.

Read More  
Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Kama wale mamia ya mamilioni ya wengine wanaomfuata Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana.

Read More  
Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3)

Read More  
Kuhusu Biblia (3)

Ikiwa unatamani kuwa na ushuhuda kwa kazi ya Mungu wakati wa siku za mwisho, basi unapaswa kuelewa kisa cha ndani cha Biblia, muundo wa Biblia, na hulka ya Biblia.

Read More  
Kuhusu Biblia (2)

Kwa miaka na miaka, hakuna aliyethubutu kuichanganua Biblia, au kusema “hapana” kwa Biblia, kwa sababu kitabu hiki ni kitabu kitakatifu, na watu wanakiabudu kama Mungu. Hili limeendelea kwa maelfu kadhaa ya miaka.

Read More  
Kuhusu Biblia (1)

Ikiwa unatamani kuiona kazi ya Enzi ya Sheria, na kuona jinsi gani Waisraeli waliifuata njia ya Yehova, basi ni lazima usome Agano la Kale; ikiwa unatamani kuelewa kazi ya Enzi ya Neema, basi ni lazima usome Agano Jipya.

Read More  

Katika kila enzi, Mungu huwapa binadamu baadhi ya maneno Anapofanya kazi ulimwenguni, huku akimwambia mwanadamu kuhusu baadhi ya ukweli.

Read More  

Kupitia maneno haya, binadamu anaweza kutazama mamlaka ya Mungu, na mamlaka ya maneno ya Mungu, na nguvu za Mungu.

Read More  

“Kunyakuliwa” si kuchukuliwa kutoka mahali pa chini kwenda mahali pa juu jinsi watu wanavyofikiria. Hili ni kosa kubwa sana.

Read More  
Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu

Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na wote hutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu.

Read More  

Wewe kwa kweli huchukulia utajiri huu wa thamani kama mawingu yanayoelea mbele ya macho yako, na huthamini mifano hii mifupi ya mapigo makali, ambayo haionekani kuwa ya shida kwako.

Read More  
Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu.

Read More  
Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja

Mwanzoni, Mungu alikuwa anapumzika. Hakukuwa na binadamu ama kitu chochote kingine duniani wakati huo, na Mungu hakuwa amefanya kazi yoyote ile.

Read More  
Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake, Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya

Nyote mmeshuhudia wenyewe kazi ambayo Nimefanya miongoni mwenu, ninyi wenyewe mmesikia maneno ambayo Nimenena, nanyi mnajua mtazamo Wangu kuelekea kwenu, kwa hiyo mnapaswa kujua kwa nini Ninafanya kazi hii miongoni mwenu.

Read More  

Nimetekeleza kazi nyingi sana duniani na Nimetembea kati ya wanadamu kwa miaka mingi sana. Ilhali watu kwa nadra sana huwa na ufahamu wa sura Yangu na tabia Yangu, na watu wachache wanaweza kuelezea kikamilifu kazi Ninayofanya.

Read More  
Latest Swahili Praise and Worship Song | "Watu Wote wa Mungu Wamsifu Kikamilifu" | Tenzi ya Rohoni

Tumenyakuliwa mbele ya Mungu. Tunajiunga na karamu ya wingi, tuna furaha sana. Tunafurahia maneno ya Mungu na tunaelewa ukweli, roho zetu zimeokolewa na tunahisi huru.

Read More  
Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu, lazima tutafute mapenzi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.

Read More  
Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima.

Read More  
Wimbo wa Injili | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Best Swahili Christian Worship Song

Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.

Read More  
Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

Ndugu wanapokutana pamoja, furaha inaonyesha kwenye nyuso zao. Tunasoma maneno ya Mungu na kushirikiana ukweli, tunaungana katika upendo wa Mungu. Sisi ni watu waaminifu, safi na wazi, hakuna ubaguzi kati yetu.

Read More  
Latest Swahili Praise and Worship Song | "Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu" | Tenzi ya Rohoni

Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, twaisikia sauti Yake. Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, tunahudhuria sikukuu ya Mwanakondoo. Tunamjua Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaona matendo Yake ya ajabu.

Read More  
Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu. Sauti inayosifu yapasua mbingu. Acha sisi, waume kwa wake, wazee kwa vijana, tuwahi pamoja.

Read More  
Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Read More  
Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.

Read More  
Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace

Maneno Yake ya upole, kama yale ya mama mwenye upendo; Maneno Yake ya hukumu, makali kama kukaripia kwa baba. Hakuna kingine duniani ninachopenda, kwa moyo wangu wote ninampenda Mwenyezi Mungu pekee.

Read More  
Wimbo wa Kwaya ya Injili “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani”Mambo Muhimu 2 | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.

Read More  
Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man

Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa. Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.

Read More  
Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)" (Dondoo 1)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)" (Dondoo 1)

Read More  
Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 4)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 4)

Read More  
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu I” Sehemu ya Pili

Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu anafanya kazi, Mungu anamtunza mtu, anamwangalia mtu, na Shetani anafuata hatua Yake yote. Yeyote anayefadhiliwa na Mungu, Shetani pia anatazama, akifuata nyuma.

Read More  
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Tatu

Mungu anafanya Asemavyo, na pia Anafikiria namna hii moyoni Mwake. Hakuna mchanganyiko wa madhumuni, hakuna fikira za kibinafsi.

Read More  
Maonyesho ya Mungu | "Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu"

Mwenyezi Mungu anasema, "Kuamini katika Mungu na kutafuta maarifa ya Mungu si jambo rahisi. Hayawezi kupatikana kwa kukusanyika pamoja na kusikiliza mahubiri, na huwezi kukamilishwa kwa kupenda tu.

Read More  
Neno la Mungu | “Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu”

Mwenyezi Mungu anasema, “Katika imani yako kwa Mungu, utamjuaje Mungu? Unapaswa kumjua Mungu kupitia maneno na kazi ya leo ya Mungu, bila upotovu au uwongo, na hata kabla jambo lolote lile ni sharti uijue kazi ya Mungu.

Read More  
Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?"

Ndani yake mna Roho Mtakatifu; lolote usemalo, Yeye bado ni mmoja na Mungu wa Mbinguni, kwani Yeye ni kupata mwili kwa Roho wa Mungu. Hili wazo la Mwana si kweli Kabisa.

Read More  
Maneno ya Roho Mtakatifu | “Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako”

Mwenyezi Mungu anasema, “Huruma Zangu zinaonyeshwa kwa wale wanaonipenda Mimi na kujinyima wenyewe. Na adhabu inayoletwa kwa waovu ni thibitisho hasa la tabia Yangu ya haki na, zaidi sana, ushuhuda wa hasira Yangu.

Read More  
Maneno ya Roho Mtakatifu | “Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Ishirini na Tatu”

Ninapokipamba “chumba cha ndani” cha ufalme Wangu siku baada ya siku, hakuna yule ameingia katika “chumba Changu cha kazi” kwa ghafla ili kuvuruga kazi Yangu.

Read More  
New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa

Baada ya kuanza kumsadiki Mungu, alifuatilia kwa shauku, akatenda wajibu wake kwa kujitolea, akapata idhini ya kaka na dada zake na miaka miwili baadaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa.

Read More  
Swahili Christian Movie Based on True Story "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.

Read More  
Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu.

Read More  
Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Kupitia kwa kuyasoma maneno ya Mwenyezi Mungu na kuusikiliza ushuhuda wa wachungaji wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Li Qingxin na wengine wanaupata uwezo wa kutambua uvumi na dhana zenye kosa za mchungaji na mzee wa kanisa.

Read More  
“Wimbo wa Ushindi” – Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho | Swahili Gospel Movie Clip 5/7

Je, hukumu ya Mungu kwa wanadamu katika siku za mwisho ni utakaso na wokovu, au ni shutuma na uharibifu wa wanadamu? Kipande hiki kitakufunulia siri hizo.

Read More  
Latest Swahili Gospel Movie "Wakati wa Mabadiliko"

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa.

Read More  
“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Clip 4/5

Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.

Read More  
Christian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord Jesus

Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo.

Read More  
Best Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alitabiri, "Na usiku wa manane pakawa na kelele, Tazama, bwana harusi anakuja; tokeni nje mwende kumlaki" (Mathayo 25:6).

Read More  
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!

Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu.

Read More  
Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?

Mwenyezi Mungu anasema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake.

Read More  
“Sauti Nzuri Ajabu” – Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? | Filamu za Injili (Movie Clip 3/5)

Je, wataweza kukaribisha kurudi kwa Bwana kama wataendelea kushikilia wazo hili? Je, Mungu angeweza kuzuiliwa tu kwa kuongea maneno yaliyo ndani ya Biblia?

Read More  
  •  12/30/2019 01:44 AM

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.

Read More
  •  12/29/2019 01:38 AM

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.

Read More
  •  11/14/2019 08:06 AM

Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji).

Read More
  •  11/13/2019 07:49 AM

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi. Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.

Read More
  •  9/24/2019 09:47 AM

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.

Read More
Investigate God’s Work in the Last Days
Through Mobile Application
Welcome truth seekers who long for God's appearance to download our App
🍀🌻 https://www.holyspiritspeaks.org/android-app/
InjilinenolaMunguSinemazaInjiliNyimbo

I BUILT MY SITE FOR FREE USING