New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa

Baada ya kuanza kumsadiki Mungu, alifuatilia kwa shauku, akatenda wajibu wake kwa kujitolea, akapata idhini ya kaka na dada zake na miaka miwili baadaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa.

Read More  
Swahili Christian Movie Based on True Story "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.

Read More  
Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu.

Read More  
Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Kupitia kwa kuyasoma maneno ya Mwenyezi Mungu na kuusikiliza ushuhuda wa wachungaji wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Li Qingxin na wengine wanaupata uwezo wa kutambua uvumi na dhana zenye kosa za mchungaji na mzee wa kanisa.

Read More  
“Wimbo wa Ushindi” – Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho | Swahili Gospel Movie Clip 5/7

Je, hukumu ya Mungu kwa wanadamu katika siku za mwisho ni utakaso na wokovu, au ni shutuma na uharibifu wa wanadamu? Kipande hiki kitakufunulia siri hizo.

Read More  
Latest Swahili Gospel Movie "Wakati wa Mabadiliko"

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa.

Read More  
“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Clip 4/5

Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.

Read More  
Christian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord Jesus

Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo.

Read More  
Best Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alitabiri, "Na usiku wa manane pakawa na kelele, Tazama, bwana harusi anakuja; tokeni nje mwende kumlaki" (Mathayo 25:6).

Read More  
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!

Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu.

Read More  
Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?

Mwenyezi Mungu anasema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake.

Read More  
“Sauti Nzuri Ajabu” – Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? | Filamu za Injili (Movie Clip 3/5)

Je, wataweza kukaribisha kurudi kwa Bwana kama wataendelea kushikilia wazo hili? Je, Mungu angeweza kuzuiliwa tu kwa kuongea maneno yaliyo ndani ya Biblia?

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING