02 Jul
“Kutamani Sana” – Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni? | Clip 4/5


“Kutamani Sana” – Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni? | Swahili Christian Movie Clip 4/5

Watu wengi walio na imani kwa Bwana wanasadiki kwamba ufalme wa mbinguni uko mbinguni. Je, hivyo ndivyo ilivyo kwa kweli? Sala ya Bwana inasema: "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni" (Mathayo 6:9-10). Kitabu cha Ufunuo kinasema, "Falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake" (Ufunuo 11:15). "Mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni, … maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu" (Ufunuo 21:2-3). Hivyo, ufalme wa mbinguni uko mbinguni au ulimwenguni?

Kujua zaidi:  Tovuti ya Kanisa la Mwenyezi Mungu ni tovuti ya injili ambayo inadhihirisha Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Inatoa ushuhuda kwa ukweli kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu na Amekwisha kurudi.


Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING