Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement

Baadaye, baada ya kufanya majadiliano kadhaa na wahubiri kutoka kwenye Kanisa la Mwenyezi Mungu, Fan Guoyi hatimaye alizinduliwa kwa ukweli, alielewa kwa kweli maana ya kutekeleza mapenzi ya Baba wa mbinguni, pamoja na jinsi ya kufuata imani yake kwa njia ambayo ingemwezesha kufikia.

Read More  
“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia | Clip 2/6

Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40).

Read More  
Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Kupitia kwa utawala na mipangilio ya ajabu ya Mungu, anakutana na Zhao Zhiming, Mkristo kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Zhao Zhiming anamtolea ushuhuda kuhusu kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho na kumtatulia miaka yake ya mawazo na fikira kwa kutumaini na kuomba kwa ajili ya kurudi kwa Bwana.

Read More  
“Nimewahi Treni ya Mwisho” | Swahili Christian Movie Clip 3/6

Katika zile siku za mwisho, Bwana amerejea katika mwili kueleza ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumu kuanzia na familia ya Mungu.

Read More  
“Kutamani Sana” – Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni? | Clip 4/5

Watu wengi walio na imani kwa Bwana wanasadiki kwamba ufalme wa mbinguni uko mbinguni. Je, hivyo ndivyo ilivyo kwa kweli? Sala ya Bwana inasema: "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni" (Mathayo 6:9-10). Kitabu cha Ufunuo kinasema, "Falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake" (Ufunuo 11:15). "Mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni, … maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu" (Ufunuo 21:2-3). Hivyo, ufalme wa mbinguni uko mbinguni au ulimwenguni?

Read More  
“Wimbo wa Ushindi” – Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi? | Clip 1/7

Ishara ya maafa makubwa wakati wa siku za mwisho- miezi minne ya damu imetokea na nyota za angani zimechukua kuonekana kwa ajabu; maafa makubwa yanakaribia, na wengi wa wale walio na imani katika Bwana wamepata hisia ya kurudi Kwake kwa pili au kwamba tayari Amewasili.

Read More  
“Wimbo wa Ushindi” – Hukumu ya Mungu katika Siku za mwisho Huwafanya Washindi Kamili | Clip 7/7

Kwa nini wanaendelea kukataa kujisalimisha, kuendelea kuhubiri injili na kumshuhudia Mungu? Je, Mwenyezi Mungu anawaongozaje kupitia hukumu na taabu ya Mungu ili kufikia utakaso na kuwa washindi?

Read More  
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua.

Read More  
Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can't Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING