15 Aug
“Wimbo wa Ushindi” – Njia Inayoongoza kwenye Utakaso na Wokovu |  Clip 6/7

“Wimbo wa Ushindi” – Njia Inayoongoza kwenye Utakaso na Wokovu | Swahili Gospel Movie Clip 6/7


Je, kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa vipi mwanadamu? Je, kwa kweli tunapitiaje hukumu na kuadibiwa na Mungu ili tuweze kupata ukweli, uzima, na kustahili wokovu na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Video hii itakuambia majibu, na kukuelekeza kwa njia ya kuingia ufalme wa mbinguni.

Yaliyopendekezwa:  “Wimbo wa Ushindi” – Ishara za kuja kwa Bwana Yesu kwa mara ya pili | Clip 4/7

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING