21 Nov
2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

Kwamba Mungu amekuwa mwili 

hutikisa ulimwengu wa kidini,

inavuruga utaratibu wa kidini,

na inakoroga roho za wale 

wanaongoja kuonekana kwa Mungu.

Nani asiyeshangazwa na haya?

Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?

Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, 

lakini binadamu hafahamu.

Leo, Mungu Mwenyewe ametokea 

kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.

Baada ya Yeye kuondoka Uyahudi, 

Mungu alipotea bila kuonekana.

Watu wana hamu ya kumwona tena, 

lakini kwamwe hawajawahi kutarajia

kuungana na Yeye hapa na leo.

Hii itakosa vipi kuleta kumbukumbu za kitambo?

Miaka elfu mbili iliyopita,

Simoni mwana wa Yohana alikutana na Bwana Yesu

na akala na Bwana katika meza moja.

Miaka ya kufuatia iliongeza upendo wake Kwake.

Alimpenda Yesu kwa dhati.

Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, 

lakini binadamu hafahamu.

Leo, Mungu Mwenyewe ameonekana ili 

kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.

kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.

Kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Wimbo wa Injili 2018 | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Sifu Matendo ya Ajabu ya Mungu

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING