21 Aug
2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)

2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)

I

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,

kama wafuasi wa Kristo wa dhati,

ni wajibu wetu, ni jukumu letu

kutoa akili zetu  na miili yetu

kwa kutimiza agizo la Mungu.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

II

Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya

agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki,

roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi

kwa ajili ya agizo la Mungu,

zaidi haistahili kwa Mungu

anayetupa kila kitu.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi:  Wimbo wa Injili | "Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu" 

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING