Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Read MoreKinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Read MoreManeno Yake ya upole, kama yale ya mama mwenye upendo; Maneno Yake ya hukumu, makali kama kukaripia kwa baba. Hakuna kingine duniani ninachopenda, kwa moyo wangu wote ninampenda Mwenyezi Mungu pekee.
Read MoreUsimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa. Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Read MoreNilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa.
Read MoreNasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Read MoreSwahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Read MoreNasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake.
Read MoreKama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
Read MoreMungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.
Read MoreMwenyezi Mungu anasema, "Kama unayo maarifa ya mafundisho ya dini pekee, basi imani yako kwa Mungu itakuwa kazi bure. Kama wewe utatenda pia na kuishi kwa kudhihirisha neno Lake basi imani yako inaweza kuchukuliwa kuwa kamili na kwa mujibu wa mapenzi ya Mungu."
Read More