Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.

Read More  
Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace

Maneno Yake ya upole, kama yale ya mama mwenye upendo; Maneno Yake ya hukumu, makali kama kukaripia kwa baba. Hakuna kingine duniani ninachopenda, kwa moyo wangu wote ninampenda Mwenyezi Mungu pekee.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING