07 Jul
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians

Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians

I

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,

kama wafuasi wa Kristo wa dhati,

ni wajibu wetu, ni jukumu letu

kutoa akili zetu  na miili yetu

kwa kutimiza agizo la Mungu.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

II

Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya

agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki,

roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi

kwa ajili ya agizo la Mungu,

zaidi haistahili kwa Mungu

anayetupa kila kitu.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,

na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza nyimbo:  Wimbo wa Dini | "Ni Wakati tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING