15 Jun
“Kutamani Sana” – Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi | Clip 1/5

“Kutamani Sana” – Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi | Swahili Christian Movie Clip 1/5

Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa juu ya wingu, lakini kuna unabii mwingine katika Biblia unaosema: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha" (Mathayo 25:6). Ni wazi kwamba kunao unabii kwamba Bwana atakuja kwa siri mbali na ule unabii kwamba Atakuja waziwazi akiwa juu ya wingu. Hivyo ukweli ni upi kuhusu kurudi Kwake?

Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kujua zaidi : Tovuti ya Kanisa la Mwenyezi Mungu ni tovuti ya injili ambayo inadhihirisha Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Inatoa ushuhuda kwa ukweli kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu na Amekwisha kurudi.


Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING