03 Jan
Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)" (Sehemu ya Kwanza)

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu "Neno Laonekana katika Mwili".

Maudhui ya video hii:

Amri ya Yehova Mungu kwa Mwanadamu

Nyoka Anamshawishi Mwanamke


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Mkusanyiko wa sinema zetu bora za injili. Hizi shuhuda za kweli ulionenwa na kazi Yake ya hukumu ya Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho zitakuongoza kuelewa kazi ya Mungu ya siku ya mwisho na kukaribisha kurudi kwa Bwana.

Comments
* The email will not be published on the website.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING