Kuhusu Biblia (3)

Ikiwa unatamani kuwa na ushuhuda kwa kazi ya Mungu wakati wa siku za mwisho, basi unapaswa kuelewa kisa cha ndani cha Biblia, muundo wa Biblia, na hulka ya Biblia.

Read More  
Kuhusu Biblia (2)

Kwa miaka na miaka, hakuna aliyethubutu kuichanganua Biblia, au kusema “hapana” kwa Biblia, kwa sababu kitabu hiki ni kitabu kitakatifu, na watu wanakiabudu kama Mungu. Hili limeendelea kwa maelfu kadhaa ya miaka.

Read More  
Kuhusu Biblia (1)

Ikiwa unatamani kuiona kazi ya Enzi ya Sheria, na kuona jinsi gani Waisraeli waliifuata njia ya Yehova, basi ni lazima usome Agano la Kale; ikiwa unatamani kuelewa kazi ya Enzi ya Neema, basi ni lazima usome Agano Jipya.

Read More  

Katika kila enzi, Mungu huwapa binadamu baadhi ya maneno Anapofanya kazi ulimwenguni, huku akimwambia mwanadamu kuhusu baadhi ya ukweli.

Read More  

Kupitia maneno haya, binadamu anaweza kutazama mamlaka ya Mungu, na mamlaka ya maneno ya Mungu, na nguvu za Mungu.

Read More  

“Kunyakuliwa” si kuchukuliwa kutoka mahali pa chini kwenda mahali pa juu jinsi watu wanavyofikiria. Hili ni kosa kubwa sana.

Read More  
Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu

Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na wote hutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu.

Read More  

Wewe kwa kweli huchukulia utajiri huu wa thamani kama mawingu yanayoelea mbele ya macho yako, na huthamini mifano hii mifupi ya mapigo makali, ambayo haionekani kuwa ya shida kwako.

Read More  
Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu.

Read More  
Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja

Mwanzoni, Mungu alikuwa anapumzika. Hakukuwa na binadamu ama kitu chochote kingine duniani wakati huo, na Mungu hakuwa amefanya kazi yoyote ile.

Read More  
Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake, Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya

Nyote mmeshuhudia wenyewe kazi ambayo Nimefanya miongoni mwenu, ninyi wenyewe mmesikia maneno ambayo Nimenena, nanyi mnajua mtazamo Wangu kuelekea kwenu, kwa hiyo mnapaswa kujua kwa nini Ninafanya kazi hii miongoni mwenu.

Read More  

Nimetekeleza kazi nyingi sana duniani na Nimetembea kati ya wanadamu kwa miaka mingi sana. Ilhali watu kwa nadra sana huwa na ufahamu wa sura Yangu na tabia Yangu, na watu wachache wanaweza kuelezea kikamilifu kazi Ninayofanya.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING