"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!

Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu.

Read More  
“Sauti Nzuri Ajabu” – Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? | Filamu za Injili (Movie Clip 3/5)

Je, wataweza kukaribisha kurudi kwa Bwana kama wataendelea kushikilia wazo hili? Je, Mungu angeweza kuzuiliwa tu kwa kuongea maneno yaliyo ndani ya Biblia?

Read More  
Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?

Hivyo unabii huu mbalimbali wa kurudi kwa Bwana unatimizwa vipi? Na tunafaa kuwa vipi wanawali wenye hekima ambao wanakaribisha kurudi kwa Bwana?

Read More  
“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia | Clip 2/6

Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40).

Read More  
Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Kupitia kwa utawala na mipangilio ya ajabu ya Mungu, anakutana na Zhao Zhiming, Mkristo kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Zhao Zhiming anamtolea ushuhuda kuhusu kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho na kumtatulia miaka yake ya mawazo na fikira kwa kutumaini na kuomba kwa ajili ya kurudi kwa Bwana.

Read More  
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING