Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi. Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.