Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji).
Read MoreMwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi. Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.
Read More