Wimbo wa Dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"

Mungu hunena na kufanya kazi katika mwili, Akishiriki furaha, huzuni na dhiki ya mwanadamu, Akiishi katika dunia yao, Akiwalinda na kuwaongoza, hivyo Akiwatakasa wapate baraka Yake na wokovu.

Read More  
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma

Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya. Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?) Mungu amekuja. (Eh!) Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milele (njia ya uzima wa milele).

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING