Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING