Mungu ni Mkuu  Upendo wa Kweli wa Mungu Swahili Gospel Song  Asante Mungu  Haleluya

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake.

Read More  
Wimbo Mpya wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu” | MV

Mungu humtunza mtu, na mtu huishi chini ya mabawa Yake. Yote ambayo mtu hufanya, maneno yake yote na matendo, yamefungwa pamoja na Mungu, hayawezi kujitenga.

Read More  
Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

sisi tuko uso kwa uso na Mungu, na katika furaha Yake tunafurahia. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu. Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki, ee. Tamanio langu ni kutenda ukweli, kuacha mwili, kuzaliwa upya, kuufaraji moyo Wako.Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, hukumu Yako imeniokoa kweli. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tabia yangu imebadilika.

Read More  
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu (Lyrics Video)

Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.

Read More  
Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”

Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo? Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu? Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING