Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Read MoreSwahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Read MoreWimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.
Read MoreUfalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo. Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa. Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi. Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili.
Read MoreKama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu.
Read MoreMwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya. Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?) Mungu amekuja. (Eh!) Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milele (njia ya uzima wa milele).
Read More