Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man

Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa. Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.

Read More  
Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Ufalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo. Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa. Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi. Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili.

Read More  
2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)

kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING