Mungu ni Mkuu  Upendo wa Kweli wa Mungu Swahili Gospel Song  Asante Mungu  Haleluya

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake.

Read More  
Wimbo Mpya wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu” | MV

Mungu humtunza mtu, na mtu huishi chini ya mabawa Yake. Yote ambayo mtu hufanya, maneno yake yote na matendo, yamefungwa pamoja na Mungu, hayawezi kujitenga.

Read More  
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu.

Read More  
Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)

Ni kazi inayoanzisha enzi mpya na kumaliza enzi nzee, kazi mpya na bora ya wokovu wa binadamu, na kazi ya kumleta binadamu katika enzi mpya. Ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu.

Read More  
Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”

Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo? Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu? Nani hataki kutoa sauti kwa shauku na uzoefu wake?

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING