“Kutamani Sana” – Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu? | Clip 2/5

Waumini wengi ndani ya Bwana wanasadiki kwamba Bwana atarudi kwa utukufu, akishuka juu ya wingu na kuonekana kwa watu wote, hivyo siku zote wanayaangalia mawingu kwenye mbingu, wakisubiria Bwana kushuka akiwa juu ya wingu, na kunyakuliwa hadi kwenye mbingu na kukutana na Yeye.

Read More  
I BUILT MY SITE FOR FREE USING