Mungu humtunza mtu, na mtu huishi chini ya mabawa Yake. Yote ambayo mtu hufanya, maneno yake yote na matendo, yamefungwa pamoja na Mungu, hayawezi kujitenga.
Read MoreMungu humtunza mtu, na mtu huishi chini ya mabawa Yake. Yote ambayo mtu hufanya, maneno yake yote na matendo, yamefungwa pamoja na Mungu, hayawezi kujitenga.
Read Moretumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza. Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake. Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha. Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu. Na ni nyumbani kwao kuzuri.
Read Morekama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
Read MoreKupatwa na Mungu kunamaanisha kufuata mfano Wake kama mfano kamili wa mwanadamu.Mfuate Mungu wa matendo, ishi ubinadamu wa kawaida.fuata maneno Yake na mahitaji, fuata kile Anachosema kabisa.na ufanikishe kile Anachotaka, kisha utapatwa na Mungu.
Read Morekwa sababu Yeye anawataka binadamu wote waje kumjua Mungu katika mwili.
Read Moresisi tuko uso kwa uso na Mungu, na katika furaha Yake tunafurahia. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu. Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki, ee. Tamanio langu ni kutenda ukweli, kuacha mwili, kuzaliwa upya, kuufaraji moyo Wako.Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, hukumu Yako imeniokoa kweli. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tabia yangu imebadilika.
Read MoreKama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu.
Read MoreNi kazi inayoanzisha enzi mpya na kumaliza enzi nzee, kazi mpya na bora ya wokovu wa binadamu, na kazi ya kumleta binadamu katika enzi mpya. Ni umuhimu wa kuonekana kwa Mungu.
Read MoreMungu hunena na kufanya kazi katika mwili, Akishiriki furaha, huzuni na dhiki ya mwanadamu, Akiishi katika dunia yao, Akiwalinda na kuwaongoza, hivyo Akiwatakasa wapate baraka Yake na wokovu.
Read More“Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Read MoreKazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.
Read MoreMwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya. Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?) Mungu amekuja. (Eh!) Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milele (njia ya uzima wa milele).
Read More